The modern health care puts the patient at the center of their own care.
Daktari Caroline Mithi atoa mafunzo kuhusu sababu, dalili, na jinsi ya kudhibiti ugonjwa wa kisukari.
Milton Munara mtaalamu wa Lishe katika KUTRRH afundisha jinsi ya kudhibiti kisukari kupitia lishe bora na mtindo wa maisha.